Miss Universe Tanzania ambaye anashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yanayoendelea kufanyika huko jijini Manila, Philippines, Jihan Dimack akipita jukwaani kuonyesha vazi lake la ufukweni katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jpark Island Resort and Waterpark, Cebu, jijini Manila - Philippines. Warembo wote wanaoshiriki mashindayo hayo, wanaendelea na ziara katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, ikiwa ni pamoja na maandalizi mbalimbali kuelekea kilele cha shindano hilo, kinachotarajiwa kufanyika Januari 29, 2017 huko Manila, Philippines.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...