Serikali ya Mtaa wa Oysterbay imeendelea kutekeleza maagizo na maadhimio mbalimbali yaliyoafikiwa ikiwamo kutatua changamoto na kero zinazowakabili Wananchi. Mtiririko wa Taarifa hiyo umejikita zaidi kwenye maeneo ya ulinzi na Usalama wa Mazingira,mapato na matumizi na maendeleo kwa ujumla wake.
Mwenyekiti wa Mtaa serikali ya Mtaa Oysterbay Bw Zefrin Lubuva akizungumza na wajumbe pamoja na wananchi wa mtaa wa oysterbay kuhusubTaarifa hio ya Mwaka wa 2016 jijini Dar es salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Kinondoni Bw Abubakar Kunga akiongea na wananchi wa Mtaa huo kihusu amani na usalama kuelekea Mwaka mpya Unaoanza na kuwasihi wananchi kuwa makini wao wenyewe na mali zao kwa ujumla. Picha na Yassir Adam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...