Mhe
Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Athony Peter
Mavunde wa tatu kushoto akionyeshwa na kupata maelekezo juu ya ufugaji
wa Samaki na Msimamizi wa Kituo cha Maendeleo ya Vijana SASANDA Ndg
Martin kambisi wa Pili kushoto.
Mhe Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Athony Peter Mavunde akizungumza na Vijana wajasilia mali wakulima na wafugaji wanaopata Mafunzo juu ya kilimo bora na Ufugaji wa kisasa katika Kituo cha maendeleo ya Vijana SASANDA kilichopo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Mhe Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Athony Peter Mavunde akikagua duka la dawa baridi Moja kati ya Mradi wa Vijana wa kikundi cha MELANAKO kilichopata Mkopo wa shiling Milion Saba toka Wizarani.
Mhe Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Athony Peter Mavunde akitazama bidhaa za ujasiliamali Asali pamoja na Dawa ya Kusafishia chooni vinavyo zalishwa na kikundi cha Vijana wajasilia mali MELANAKO kilichopo wilayani Mbozi mkoani Songwe.
Mhe Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Athony Peter Mavunde akikagua Mradi wa Ufugaji wa Ng’ombe wa kisasa alipotembelea Kituo cha maendeleo ya Vijana SASANDA chenye vikundi vya vijana 12 vyenye jumla ya Vijana 200 wanaojifunza shughuli mbali mbali za kilimo na Ufugaji wa kisasa.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...