Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo amefanya ziara ya
kikazi katika Vyombo vitatu vya Habari vya Kampuni za Uhuru Publications
Ltd, Wachapishajiwa Magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Burudani, Peoples
Media ya Uhuru FM na New Habari Corporation, Wachapishaji wa Magazeti ya
Mtanzania, Rai na Dimba. Pichani, Polepole akizungumza na Wafanyakazi
na viongozi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wakati wa ziara hiyo.
Polepole
akimsalimia Suleiman Jongo alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru
Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo
Mhariti
Mtendaji wa New Habari Corporation Absalom Kibanda akimkaribisha
Polepole katika Ofisi za Kampuni hiyo, Sinza jijini Dar es Salaam

Polepole akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa New Habari Corporation.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...