Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mshauri wa Rais masuala ya Utamaduni Mhe, Chimbeni
Kheir Chimbeni jana alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi alipohudhuria katika Taarab rasmi ya kusherehekea
Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (wa pili kushoto) Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na
Michezo Mhe, Rashid Ali Juma (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi
Seif Ali Iddi(kulia) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa
Majaliwa (wa pili kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi katika Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana.
Wake wa Viongozi wakuu wa Nchi wakiwa katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi katika Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana iliyopigwa na Kikundi cha Taifa.
Baadhi ya Viongozi na Waalikwa mbali mbali wakiwa katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi katika Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana iliyopigwa na Kikundi cha Taifa.
Kikundi
cha Taifa cha Muziki wa Taarab kikitumbuiza kwa Wimbo unaosema "Khofu
yako Iondoke"ilyoimbwa na Profesa Moahmed Ilyas katika sherehe za Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (Picha na Ikulu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...