Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji  mbali mbali  wa Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu  wa Kiwanda cha Matrekta Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) kuhusu mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake,  wakati alipofika kutembelea Kiwanda hicho leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohamed.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na Viongozi mbali mbali  wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu  wa  Kiwanda cha  Matrekta Mbweni Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) walipofika kuangalia mashine   zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake,  wakati walipofika kutembelea Kiwanda hicho leo huko Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia)Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji  mbali mbali wa Serikali  wakati walipotembelea  Kiwanda cha  Matrekta Mbweni  Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. Kushoto ni mkuu wa Kiwanda Ndg. Mohamed Omar
 Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe Hamad Rashid Mohamed  akitoa maelezo mafupi na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wafayakazi wa Kiwanda cha  Matrekta Mbweni  Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,baada ya kukitembelea akiwa na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanda cha  Matrekta Mbweni  Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,alipofayna ziara maalum ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji  mbali mbali wa serikali. Picha na IKULU.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...