Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba kwa Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji
Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Jumatano Januari 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakimshangilia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Jumatano Januari 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop pamoja na viongozi wengine meza kuu wakifurahia nyimbo za msanii Mrisho Mpoto na Banana Zorro kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Jumatano Januari 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop pamoja na viongozi wengine meza kuu wakifurahia nyimbo na kwenda kumtuza msanii Mrisho Mpoto na Banana Zorro kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Jumatano Januari 25, 2017
Mungu ampe nini Msanii Mrisho Mpoto baada ya kuambulia burungutu la noti baada ya kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Jumatano Januari 25, 2017.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...