Kanisa katoliki linakataza utumizi wa mipira ya kondomu. Papa Francis ilimtaka ajiuzulu na alikubali. Tawi hilo la Malta lina uwezo mwingi kama ule wa taifa zima.
Hutoa pasipoti, stampu na leseni na pia lina uhusiano wa kidiplomasia na
mataifa 106 ,ikiwemo Vatican.
Ijapokuwa tawi hilo linaonekana kuwa na wanaume pekee, viongozi
wake sio wanaume pekee.Kufikia 2013 wanawake walikuwa asilimia 30 wakijulikana kama
Dames.Kundi hilo lilo katika kuondoa sura yake ya kibwenyenye na
kuvutia vipaji ili kuendelea kazi zake za kibinaadamu. Chanzo:BC
![]() |
Papa Francis akiwa na kiongozi wa kanisa katoliki anayewasaidia raia wa Malta |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...