Mhandisi Joseph Shega wa Nyumbu Kibaha anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi MARIETHA  LUSAMBO kilicho tokea jana asubuhi katika Hospitali ya Mpanda Katavi Mazishi yatafanyika kesho Jumatatu kuanzia mchana tarehe 31 Janary 2017 wilayani Mpanda.
HABARI ZIWAFIKIE: Kaka wa marehemu Emily Lusambo akiwa Kisa Rukwa, Mhe. Sebastian Kapufi Mbunge wa Mpanda mjini, Wifi wa marehemu Angelina Kisunga wa Kibaha Pwani, Watoto wote wa marehemu, wajukuu wote waliopo Dar es salaam Arusha Kilimanjaro 
Kibaha  Sumbawanga, Wafanyakazi wa shirika la Nymbu kibaha, majirani wote wa kwa Kibaha kwa Mathias, pamoja na marafiki wote

Bwana ametoa Bwana ametwa 
Jina lake na lihimidiwe 
Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...