Meneja wa Afya, Usalama na Mazingira Kazini, Bw. Gilbert Lameck akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa bomba la majitaka na mvua katika barabara ya Azikiwe jijini Dar es Salaam, akieleza kuwa mradi huo unatarajia ifikapo kukamilika Juni mwaka huu.
Mafundi wakiendelea na ujenzi bomba hilo ambapo sehemu ya maunganio ya Askari Moment jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa ujenzi wabomba la majitaka na mvua katika barabara ya Azikiwe jijini Dar es Salaam.
Mafundi wakiendelea na kazi Askari Moment jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka,Glob ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...