Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (Katikati)
akitoa Risala kuhusu upigaji wa Kura katika uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la
Dimani Zanzibar na Kata 19 za Tanzania Bara
leo mjini Zanzibar. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mkuu
Mstaafu wa Zanzibar, Mhe. Hamid M. Hamid na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa
NEC, Bw. Emmanuel Kawishe (Kulia).
Mkurugenzi
wa Huduma za Sheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe (Kulia) akitoa ufafanuzi
kuhusu masuala ya Kisheria ya kuzingatiwa na wapiga Kura, Mawakala wa Vyama vya
Siasa wakati wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika kesho,
Januari 22, 2017. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Rufaa Mhe.
Semistocles Kaijage.
Waandishi wa Habari wakiuliza maswali mbalimbali
wakati wa Mkutano huo.Picha/ Aron Msigwa - NEC. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...