Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
na mkewe Mery Majaliwa wakiweka shada la maua katika kaburi la aliye kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali Kapteni Kenan
Mhaiki aliyefariki tarehe 31/12/2016
na kuzikwa tarehe 4/1/2017 kijijini kwao Matogoro Mkoani Ruvuma
Waziri mkuu Kassim Majaliwa
akitoa salamu za serikali katika misa ya kumuombea marehemu Kapteni Kenan Mhaiki iliyofanyika katika kanisa la Jimbo kuu Katoliki la Songea Parokia ya Mtoto Yesu Matogoro, Songea
Mjane wa Marehemu
Kapteni Kenan Mhaiki akiweka
shada la maua katika kaburi la mume wake
Watoto wa Marehemu Kapteni Kenan Mhaiki wakiweka Mashada ya
maua katika kaburi la Baba yao
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kapteni Kenan Mhaiki wakati wa misa ya kumuombea katika kanisa la Jimbo kuu Katoliki la Songea Parokia ya Mtoto Yesu Matogoro, Songea. Picha na Chris Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...