Mkurugenzi wa Idara ya Nyumba Wizara ya Ardhi
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Michael Mwalukasa akizungumza na Waandishi wa
Habari Leo Jijini Dar es salaam kuhusu mfuko wa kuwawezesha watumishi wa
Serikali kumiliki Nyumba ambapo zaidi ya watumishi 2000 wameshanufaika na
mikopo yenye riba nafuu ya asilimia 3 ili kuwawezesha kumiliki nyumba bora.
Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Mikopo ya Nyumba Bi Lucy Kabyemera na Kushoto ni
Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma Salum.
Mkurugenzi Msaidizi Mikopo ya Nyumba,Wizara ya
Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Lucy Kabyemera akifafanua kwa waandishi
wa habari kuhusu faida wanazopata watumishi wa Umma kutokana na mikopo
inayotolewa na Serikali ili kuwawezesha kumiliki makazi bora. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Nyumba Wizara
ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Michael Mwalukasa. Picha na Frank Mvungi-Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...