Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe,Jecha Salim Jecha (kushoto) katika hafla fupi iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa kizungumza na mawaziri mbali mbali,watendaji wa Serikali (hawapi pichani), Wajumbe wa Tume ya uchaguzi baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 na Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe,Jecha Salim Jecha (katikati) katika hafla fupi iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha Salim Jecha (kulia) akitoa maelezo mafupi kabla ya kukabidhi Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Washauri wa Rais waliohudhuria katika hafla ya kukabidhiwa Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jecha Salim Jecha (hayupo pichani) katika hafla fupi iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (kushoto) na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jecha Salim Jecha (hayupo pichani) katika hafla fupi iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Picha na IKULU, Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...