Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wa sita kulia) akishiriki kuswalia
jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC, Wilaya ya Mwanga mkoani
Kilimanjaro, Mwalimu Ali Mbaga, wakati wa mazishi yaliyofanyika jana Feb 8, 2017, katika kijiji cha Kighare, Usangi wilayani Mwanga mkoani
Kilimanjaro. Mbaga ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM, waliofariki
kwa ajali ya gari wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM
katika mkoa huo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiongoza kwenda nyumbani kwa marehemu
Mbaga, kuongozamazishi hayo. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka
Hamdu Shaka
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiongoza kwenda nyumbani kwa marehemu Mbaga, kuongoza mazishi hayo.
Waombolezaji wakipeleka jeneza lenye mwili wa marehemu Mbaga kwenye eneo la kuswaliwa wakati wa mazishi hayo.
Maziko ya Mwili wa marehemu Mbaga yakifanyika.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...