Mti kubwa wa kihistoria aina ya Mkuyu wenye
kusadikiwa kuwa na umriwa miaka zaidi ya mia moja (100) uliopo Makumbusho na Nyumba ya
Utamaduni jijini Dar es Salaam umekatika tawi lake kubwa na kuangukia sehemu ya jumba hilo na
kuleta madhara kidogo kwenye Jengo hilo.
Mashuhuda wa tukio hilo lililotokea leo
mnamo saa saba mchana wamesema hakuna mtu yeyeto alieathirika na mti huo kwani wakati
ukianza kuanguka waliokuwepo karibu walisikia mvumo mkubwa kama wa mvua kubwa unavuma na kisha wakaona tawi linaelekea chini nao walikimbia eneo hilo haraka.
Tawi la mti wa kihistoria ujulikanao kama
Mkuyu uliopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni likiwa limedondokea sehemu ya
jengo la Makumbusho hiyo.
Tawi la mti wa kihistoria ujulikanao kama Mkuyu uliopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni likiwa limedondokea sehemu ya jengo la Makumbusho hiyo.
Tawi la mti wa kihistoria ujulikanao kama Mkuyu uliopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni likiwa limedondokea sehemu ya jengo la Makumbusho hiyo.
Sehemu ya paa lililoangukiwa na mti huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...