Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Sehemu ya waalikwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za kimataifa wanaowakilisha nchini katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na maafisa wa wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa walioandaa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhiya mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali nchini katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya ya Sherry Party aliyowaandalia mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa nchini katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Ijumaa Februari 10, 2017. Kwa picha zaidi za IKULU BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...