SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ametaja majina mengine ya watuhumiwa wa dawa za kulevya wakiwemo wanasiasa, viongozi wa dini na wafanyabiashara; https://youtu.be/FdThrDlJWiU
SIMU.TV: Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es salaam Simon Sirro amesema polisi wanaendelea na uchunguzi kuwabaini watuhumiwa wa dawa za kulevya; https://youtu.be/ZWAQHrZa2v0
SIMU.TV: Rais Dkt John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika eneo la ujenzi wa jengo jipya la uwanja wa ndege na kuagiza kazi iendelee; https://youtu.be/ewEhyU0Q3hc
SIMU.TV: Rais Dkt John Magufuli leo amepokea hati sita za utambulisho wa mabalozi kutoka nchi mbalimbali wanaokuja nchini kuziwakilisha nchi zao; https://youtu.be/a6bNdVgG4_k
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Kigoma Emmanuel Maganga amesema serikali mkoani humo itawalinda raia wema wanaowafichua wahamiaji haramu; https://youtu.be/ti0LjAq9GHg
SIMU.TV: Kamati ya kudumu ya bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeishauri serikali kuweka mitaji ya kutosha katika taasisi za umma; https://youtu.be/cpW2nN2MGiM
SIMU.TV: Shirika la nyumba NHC limezindua ujenzi wa nyumba 300 za watumishi wa serikali kwa lengo kusaidia mchakato wa kuhamia Dodoma; https://youtu.be/9pQGsXaclhw
SIMU.TV: Uwezo wa shilingi 100 ya kitanzania kununua bidhaa mbalimbali umeporomoka zaidi kutokana na kuongezeka failisi za bei ya Taifa; https://youtu.be/QzHemShLzBA
SIMU.TV: Jahazi la timu ya JKT Ruvu limezidi kuzama baada ya leo kukubali kipigo cha goli moja kwa bila kutoka kwa Tanzania Prisons; https://youtu.be/NOcR2LNOpuM
SIMU.TV: Jukwaa la maonyesho ya mitindo na ubunifu wa mavazi maarufu kama Lady in Red linatarajia kufanyika nchini huku wadau wa mitindo wakiombwa kujitokeza; https://youtu.be/YalubSdbLcU
SIMU.TV: Timu ya JKT Oljoro imezidi kufufua matumaini ya kurejea tena ligi kuu Tanzania bara baada ya kufanya vizuri kwenye ligi daraja la pili; https://youtu.be/utVLc7byU_A
SIMU.TV: Nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ujerumani Philip Lahm amedokeza kuwa mwishoni mwa msimu huu atastaafu kucheza soka; https://youtu.be/zIaqKZjC8UU


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...