Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin
Kamuzora akiongea wakati wa mkutano na ujumbe
kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China waliomtembelea Ofisini kwake
mapema hii leo.
Sehemu ya ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China waliomtembelea
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin
Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka kutoka Chuo Kikuu cha
Kilimo cha China uliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kukuza mahusiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya mazingira.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...