Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania,Ashutosh Tiwary(kulia)akimkabidhi simu aina ya Samsung Galaxy S6 edge plus,Ahasina Omary alieibuka mshindi katika mbio za walemavu za Kilimanjaro zilizofanyika mwishoni mwa wiki,Vodacom Tanzania iliwafanyia hafla fupi baadhi ya washindi watanzania ili kuwapa moyo Watanzania hao wajitume zaidi siku zijazo.
Baadhi ya wanariadha watanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa chama cha riadha Tanzania(kulia)baada ya kukabidhiwa zawadi zao za simu aina ya Samsung Galaxy S6 edge plus na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania,Ashutosh Tiwary(wapili kulia)wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wanariadha watanzania ili kuwapa moyo kujituma zaidi siku zijazo.
Mwanariadha Mtanzania alieshiriki mbio z nusu marathoni na kushika nafasi ya 11,Joseph Teophil kipoke zawadi ya simu aina ya Samsung Galaxy S6 edge plus toka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania,Ashutosh Tiwary(kulia)wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wanariadha watanzania ili kuwapa moyo wajitume zaidi siku zijazo,Kushoto ni Banuelia Brigton
Mkuu wa kanda ya Kasikazini wa Vodacom Tanzania,Henry Tzamburakis(kulia)akimkabidhi simu aina ya Samsung Galaxy S6 edge plus,Peter Sulle alieshika nafasi ya 17 katika mbio za Kilimanjaro Marathoni KM 42 zilizofanyika mwishoni mwa wiki,Vodacom Tanzania iliwafanyia hafla fupi baadhi ya washindi watanzania ili kuwapa moyo kujituma zaidi siku zijazo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...