Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye
akioongea na Waandishi wa Habari kuhusu siku rasmi ya kuanza kutumika
kwa Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 pamoja na Kanuni zake za
2017 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni Mjini Dodoma 05/02/2017.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan
Abbasi.PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM.
Home
HABARI
WAZIRI NAPE ATANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA ZA HUDUMA ZA HABARI NA KANUNI ZAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...