
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unawakaribisha walioorodheshwa hapo chini kufika katika ofisi za OSHA zilizopo katika jengo la Idara ya Kazi, Barabara ya Stesheni mkabala na Lake Hotel jijini Mwanzan kwa tarehe zilizotajwa katika makundi yao kuanzia saa 2.30 asubuhi ili waweze kupewa majibu yao. Tangazo hili linawahusu waliopimwa Bugando tu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...