Kikosi
cha timu ya Yanga kilichocheza na Ng'aya Fc uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam jioni ya leo na Mchezo huo kumalizika kwa droo ya kufungana
bao 1-1.
Kikosi
cha Timu ya Ng'aya Fc ya Comoro kikiwa katika picha ya pamoja katika
mchezo wao dhidi ya Yanga, mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kipa wa Ng'aya Fc ya Comoro, Said Mmad akidaka mpira mbele ya mabeki wake na washambuliaji wa Yanga.
Mshambuliaji
wa Ng'aya Fc, Said Hachim akiwania mpira wa juu na beki wa Yanga,
Kelvin Yondani katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika, uliochezwa
jioni ya leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mchezo huo
umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Beki
wa Yanga, Vicent Bossou akiokoa mpira mbele ya washambuliaji wa timu ya
Ng'aya katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Beki wa Kulia wa Ng'aya Fc akiokoa mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga , Deus Kaseke
Beki wa kushoto wa timu ya Yanga , Mwinyi Haji akishangilia bao lake la kusawazisha dhidi ya Ng'aya Fc ya Comoro.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...