Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka
(kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Taasisi ya
Saratani Ocean road, Beatrice Erasto ,vifaa vya
mgonjwa ikiwa ni moja ya vitu vilivyotolewa msaada vyenye thamani ya
Milioni 10 kwa taasisi hiyo jana Dar es Salaam
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia)akimkabidhi Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Taasisi ya Saratani Ocean road, Beatrice Erasto kabati la kuhifadhia vifaa vya mgonjwa ikiwa ni moja ya vitu vilivyotolewa msaada vyenye thamani ya Milioni10 kwa taasisi hiyo jana Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia)akizungumza kabla ya kukabidhi msaada kwa taasisi ya Saratani ya Ocean Road.
Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifatlia kitendo hicho cha utoaji wa Msaada kutoka benki ya CRDB
Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Taasisi ya Saratani Ocean road, Beatrice Erasto akizungumza kabla ya kupokea msaada wa vifaa vya hospitali kutoka benki ya CRDB

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...