Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al Najem (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Africa Relief Organisation Bw. Sami Al Azib wakiwa na hati ya mkataba uliowekwa kati ya Kuwait Red Crescent Society na Africa Relief Organisation wa kuchimba visima 16 katika shule tofauti jijini Dar es salaam katika hafla ndogo iliyofanyika katika Ubalozi wa Kuwait hivi karibuni.
Home
Unlabelled
KUWAIT RED CRESENT SOCIETY KUCHIMBA VISIMA KATIKA SHULE 16 ZA DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...