Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi;
Dr. Moses Kusiluka akiongoza maandamano na viongozi wa Chuo cha Ardhi –
Morogoro, pamoja na Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Tabora, Bwn. Justo Lyamuya, wakati
wa maafali ya 35 ya chuo cha Ardhi – Morogoro.
Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi;
Dr. Moses Kusiluka akitoa hotuba katika maafali ya 35 ya Chuo cha ardhi Morogoro,
kushoto kwake ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Morogoroius; Bwn. Desderius
Kimbe, anayemfuatia ni Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Tabora; Bwn. Justo Lyamuya.
Katika picha ya pamoja na wahitimu na baadhi ya wanafunzi, katikati ni Katibu Mkuu
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dr. Moses Kusiluka, kushoto
kwake ni; Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Morogoro Bwn. Desderius Kimbe na kulia
kwake ni Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Tabora, Bwn. Justo Lyamuya. 
Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Tabora, Bwn. Justo Lyamuya akitoa maelezo ya kina kuhusu matumizi ya kifaa cha upimaji Ardhi kwa baadhi ya waalikwa wa Maafali ya 35 ya Chuo cha Ardhi – Morogoro.
Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dr. Moses Kusiluka akifuatilia kwa makini maelekezo ya Mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, ambaye alikuwa akionyesha jinsi ya kutumia kifaa cha upimaji Ardhi, wakati wa maafali ya 35 ya chuo cha Ardhi – Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...