UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na DAWASA watauza Magari, Generator, Office
fanicha kwa mnada wa hadhara tarehe
1 April, 2017 Jumamosi saa 4.00 asubuhi.
Mnada utafanyika DAWASA jirani na
Hospitali ya Mwananyamala, Dar es salaam.
MAGARI NA
GENERATOR ZITAKAZOUZWA.
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
1
|
Toyota Hilux
D/Cabin
|
5L Diesel Engine
|
2008
|
Haujalipwa
|
1
|
Nissan Terrano S/Wagon
|
TD27 Diesel Engine
|
2004
|
Haujalipwa
|
2
|
Mitsubish Pajero S/Wagon
|
4M40 Diesel Engine
|
2009/2010
|
Haujalipwa
|
2
|
Mitsubishi Nativa S/Wagon
|
4M40 Diesel Engine
|
2005
|
Haujalipwa
|
2
|
Mitsubish P/U double canin
|
4D56 Diesel Engine
|
2005/2008
|
Haujalipwa
|
1
|
Isuzu P/UP
single cabin
|
JAATFS Diesel Engine
|
2009
|
Haujalipwa
|
1
|
Generator 180 KVA
|
Caterpillar Diesel Engine
|
2005
|
Haujalipwa
|
FANICHA
ZITAKAZOUZWA:

Mali zote zinaweza kukaguliwa DAWASA jirani na Mwananyamala Hospital tarehe
29 mpaka 31 March 2017 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari / Generator atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huo gari/Generator litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru
Kwa maelezo
zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE ( LION
STREET SINZA)
SIMU
NO: 0754 284 926, 0757 284 926 E-mail:
universalauction@hotmail.com
DAR ES SALAAM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...