Mwili wa Marehemu utawasili nchini kutokea Leeds, Uingereza siku ya Ijumaa tarehe 31/03/2017 majira ya saa nne usiku.
Taratibu zote za mazishi zitafanyika tarehe 01/04/2017 Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam mtaa wa Almasi nyumba namba 7, Kuanzia saa tatu asubuhi.
Ibada ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika katika Kanisa Katoliki la Mt. Gasper, Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam.
Mazishi yamepangwa kufanyika Jumamosi 01/04/2017 katika Makaburi ya Kondo, Bahari Beach jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...