Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kusema kweli malalamiko dhidi ya NHIF ni mengi na mnaweza kuyajibu kama sehemu ya PR ila hio halifuti ukweli kuwa there is room for improvement. Kwanza wengi wa watumishi wa mashirika yaliyoingizwa kwenye bima ya NHIF walikuwa wanapata bima ya afya kama sehemu ya mafao yao kazini ila sasa wanakatwa asilimia 3% ya mshahara wao kuchangia NHIF na hii inamaanisha mshahara wao umepungua kwa asilimia 3. Pili wengi wao hawaridhishwi na huduma chini ya NHIF hivyo kuwalazimu kuishia kuingia gharama za ziada kupata huduma za matibabu sehemu zisizopokea kadi za NHIF. Tatu, pamoja na maboresho ya mfumo wa Tehama inakuwaje mpaka leo mnatumia kadi za lamination badala ya smart card? Nne, sawa Mfuko unatakiwa kuwekeza, je ni busara kwa Management kukimbizana na masuala ya kuanzisha viwanda badala ya kukimbizana na kuboresha huduma na kuzidisha tija kwenye Mfuko? Shughuli za uwekezaji waachieni wataalamu wa uwekezaji (NDC etc) au benki za uwekezaji na Mfuko usubiri kupokea dividends ama marejesho ya mkopo. Pia kabla ya kutaka kuongeza wigo wenu, improve your services and efficiency, walipeni service providers bei stahiki na kwa muda muafaka na wekezeni zaidi kwenye huduma bora, mambo ya viwanda vya sindano na pamba uwekezaji wake unaweza kufanywa na sekta binafsi, stick to your core business.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...