Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto
miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa
wengine wa Nchi hiyo pia akiwepo na Waziri wa Kilimo, Maliasili,Mifugo
na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed walipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Nchi Indonesia leo. Rais Shein anamuwakilisha Rais John Pombe
Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya
Hindi (IORA) nchini humo. Picha na IKULU
Home
Unlabelled
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...