Timu ya Maji Maji ( WANALIZOMBE) imeutumia vyema uwanja wake wa nyumbani kwa kuichapa Toto African Bao 4-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa MAJI MAJI uliopo mjini Songea, mkoani Ruvuma.
Home
Unlabelled
BAADA YA MAJI MAJI KUICHAPA TOTO AFRICAN 4 - 1 KOCHA WA MAJI MAJI AIBUKA NA KUSEMA HAYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...