Mkuu wa kitengo Cha masoko na mahusiano ya Benki ya TIB CBL , Bi Theresia Soka akiwasilisha mada juu ya huduma zinazopatikana katika benki hiyo kwa washiriki wa jukwaa la biashara lililofanyika katika ukumbi wa Rock City jijini Mwanza.
Jukwaa hili limehusisha wadau mbalimbali ili kujadili na kutambua fursa mbalimbali zinazopatikana katika mkoa wa Mwanza.
Wadau mbalimbali wa kiwa kwenye picha ya pamoja walioshiriki kwenye jukwaa la biashara lililofanyika katika ukumbi wa Rock City jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...