Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji
Majenzi (AQRB) , Dkt6543W2 Geraldine Kikwasi akizungumza na Wanafunzi wa
kidato cha pili wa shule ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani
Ilala, jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kuwahamasisha Wanafunzi
wa kidato cha pili wa shule hiyo kuwapa elimu kuhusiana na fani mbili
za ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi. 
ARCH. Daniel Matondo kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi akiwaelezea Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari Majani ya Chai shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi katika sekta ya ujenzi.
Afisa Uhusiano kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) Bw.Hamis Sungura. akiwatambulisha viongozi wa Bodi.
Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam wakifuatilia elimu ya fani mbili ya ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...