Mwenyekiti
wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwakaribisha Wasnaii hao
katika Hotel ya Ramada Incore jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akikabidhi zwadi ya
Tisheti kwa wageni hao ambao wamekuja kutalii nchini
Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwa katika picha ya pamoja na wasnii kutoka nchini china
Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen wakicheza ngoma kwa pamoja na kikundi cha Sanaa za utamaduni hapa nchini cha Wanne Star
--
Wasanii
Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin
Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen, wakishuka kwenye gari ndani ya uwanja wa
ndege wa kimataifa Jijini Dar es Salaam wakitokea nchini China kwa
ajili ya kutembelea mbuga za Wanyama hapa nchini na Vivutio vya kitalii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...