Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM) Mhe.Ally Keissy akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Kiteto Koshuma akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 24, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...