HUU NI UJUMBE WA
MWALIMU HUYO.
HABARI KAKA-Kuna
mwanafunzi wangu anaitwa Mariam Ibrahimu Mwema wa shule ya sekondari Kawe
ukwamani kidato cha 4 mwenye umri wa miaka 16 tu ana matatizo makubwa ya tumbo.
Alifanyiiwa opereshen ya kwanza akiwa
darasa la 3. Baadae upasuaj uliendelea
takriban mara 9.
Hali yake kiafya
imezorota tena baada ya kuimarika katika miezi 2 Iliyopita kufuayia operation
aliyofanyiwa pale Muhimbili .Ilikuwa ni operation ya kumi kwa huyu binti mwenye
umri chini ya miaka 18
Dogo kwa sasa ni wa
kutapika tu, tumbo limevimba tena na kitu kiumizacho zaidi ni kuwa FAMILIA YAKE
IPO TAABANI KIUCHUMI KWA SASA...!
Anaumwa kiukweli dogo hata
kukaa hawez..!
Habari Ndugu Mtanzania Mzalendo,Kwa majina Naitwa Exaud Mtei,Mwandishi wa Habari nchini Tanzania,kwa Masikitiko makubwa Imebidi niwe Balozi wa Kusambaza Ujumbe huu ambao nimeupata kutoka kwa mwalimu wa shule ya Kawe Ukwamani akinieleza Kuhusu maisha ya mwanafunzi wake wa Kidato cha Nne ambaye anashindwa kundelea na masomo kutokana na Matatizo yanayomkumba-
Habari Ndugu Mtanzania Mzalendo,Kwa majina Naitwa Exaud Mtei,Mwandishi wa Habari nchini Tanzania,kwa Masikitiko makubwa Imebidi niwe Balozi wa Kusambaza Ujumbe huu ambao nimeupata kutoka kwa mwalimu wa shule ya Kawe Ukwamani akinieleza Kuhusu maisha ya mwanafunzi wake wa Kidato cha Nne ambaye anashindwa kundelea na masomo kutokana na Matatizo yanayomkumba-
Pleeeeease wadau hebu
kila mmoja wetu afikirie nini anachoweza kumfanyia malaika huyu kunusuru
kiza kinene cha mustakabali wake
kimaisha. Kiukweli wazazi wake wamefikia hatua ya kutokujua hatma ya mtoto wao
kipenzi.
Wazazi hawana kitu
imebaki ni kumtazama tu, mtoto Analia wazazi wanalia basi ni tafrani Inaumiza
sana pale Mariam anapokuambia japo kama ingekuwa inawezekana basi yeye akupatie
nafsi yake nawe umpatie yako japo kwa masaa 2 ( dakika 120) japo naye apumzike
maumivu kwa muda huo.
Msaada unaohitajika kwa
sasa ni Matibabu ya haraka nje ya nchi kwa mujibu wa maelezo ya madaktari. Na
kwa msaada wa madaktari wa Tmj, Sanitas na Shree Hindumabdal hospital
tulifanikiwa kupata mawasiliano, hospital na daktari ambaye alitupatia gharama
za natibabu ya tatizo la mtoto wetu sambamba na gharama nyingine kuwa ni
takriban dola elfu nane ( 8000) za marekani.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...