Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg.
Jeremie Zoungana, aliyekuja kuzungumza nae na kubadilishana uzoefu wa
kazi, kabla ya kuanza kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akizungumza na ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma,
ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie
Zoungana (wa pili kulia).
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akimsikiliza Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan
Bishanga (wa pili kushoto) akizungumza leo katika kikao kilichofanyika
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...