
Hatimaye waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametimiza ahadi yake aliyotoa Januari 5 mwaka huu kwa wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma ya kuwaletea gari la wagonjwa ili liweze kusaidia katika kutatua tatizo la usafiri kwa wagonjwa.HABARI KAMILI HII HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...