Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Song,Geum-young akizungumza na washiriki wa Tamasha la Ngoma za asili za nchi hiyo (hawapo pichani) jana Jijini Dar es Salaam.
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watazamaji kutoka Jamhuri ya Korea na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa zikioneshwa katika Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa ngoma za asili kutoka Jamhuri ya Korea wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...