Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati
za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret Juni 13,2017.
Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka
kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara
baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...