Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na wakazi wa Kata ya Mgomeni Mzimuni jijini Dar es salam ambao alijumuika nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa katika ofisi za umoja wa wabunge wa CUF iliyopo katika kata hiyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad akiomba dua pmoja na viongozi wengine waandamizi wa Chama Cha Wananchi CUF ambao walikusanyika kwa ajili ya futari katika kata ya Magomeni Mzimuni.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad akiwa ameketi katika kiti pamoja na Wanachama wengine wa CUF katika ofIsi za umoja wa wabunge wa Chama cha Wanachi CUF
Baadhi ya wabunge wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa wameketi wakifuturu futari iliyoandaliwa na kata ya Magomeni Mzimuni
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad akiteta na Mwenyekiti wa Matawi ya CUF Rashid Abdullah mara baada ya kupata futari ya pamoja na wakazi wa Magomeni Mzimuni. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...