Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Nchini Marekani wa ligi ya Chuo cha New Brunswick Alphaeus Kisusi amedhamiria kuinua mchezo wa kikapu nchini kwa kuanza kuwafundisha vijana wa kuanzia miaka 12 katika viwanja vya JMK PARK.
Kikusi aliweza kuondoka nchini mwaka 2012 na kwenda nchini Canada na kuendeleza kipaji chake cha mpira wa kikapu.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Nchini Marekani wa ligi ya Chuo cha New Brunswick Alphaeus Kisusi akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliopo katika Kliniki ya mpira wa Kikapu inayoendelea katika viwanja vya JMK Park.\
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Nchini Marekani wa ligi ya Chuo cha New Brunswick Alphaeus Kisusi akitoa maelezo mbalimbali kwa vijana vijana waliopo katika Kliniki ya mpira wa Kikapu inayoendelea katika viwanja vya JMK Park.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Nchini Marekani wa ligi ya Chuo cha New Brunswick Alphaeus Kisusi akitoa maelezo mbalimbali kwa vijana vijana waliopo katika Kliniki ya mpira wa Kikapu inayoendelea katika viwanja vya JMK Park. Picha na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...