Waziri wa Malisili na
Utalii,Prof Jumanne Maghembe kushoto akimkabidhi
Afisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
Augustino Kasale tuzo ya mshindi wa banda bora la sekta ya nishati na
mazingira katika maonyesho ya Kimataifa ya Biashara wakati alipokwenda
kuyafunga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella.
Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe kushoto
akifurahia jambo na Afisa
Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino
Kasale mara baada ya kumkabidhi tuzo ya mshindi wa banda bora la sekta
ya nishati na mazingira
katika maonyesho ya Kimataifa ya Biashara wakati alipokwenda kuyafunga
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella.
Watumishi wa Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania (TPDC) wakiongozwa na Afisa Uhusiano wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino Kasale kulia na katikati
ni Mwanasheria wa TPDC Kelvin Gadi wakiwa na tuzo yao
walioipata.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...