Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa ametoa Wito kwa Wazizi kupeleka Watoto wa Kikeke Shule ametoa wito huo katika mkutano wa hadhara Uliofanyika Kiwanja cha Michezo wilaya ya Liwale July 10, 2017 ,Mama Majaliwa ameongozana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi ya siku Nne Mkoani Lindi.Pcha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia dawa zilizopo katika Stoo ya Hospital ya Wilaya ya Liwale July 10, 2017. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Liwale (CUF), Zuberi Kuchauka na kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dr Maulid Manjala. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo katika ziara ya kikazi ya siku Nne Mkoani Lindi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...