Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi
Isaack Kamwelwe akisisitiza jambo wakati wa ziara yake ya kukagua hatua iliyofikiwa katika mradi wa ukarabati
na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki ya kuhifadhia maji.
Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Chalinze
(CHALIWASA)Mhandisi Christer Mchomba na kushoto ni Msimamizi wa mradi huo
kutoka kampuni ya WAPCO inayotekeleza mradi huo.
Mafundi wakiendelea na Kazi ya ujenzi wa matanki
ya kuhifadhi na kusambaza maji katika Jimbo la Chalinze.
Sehemu ya mabomba yakiwa katika moja ya maeneo
unakotekelezwa mradi huo.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack
Kamwelwe (wapili kushoto) akioneshwa ramani ya mradi huo na hatua iliyofikiwa
katika utekelezaji wake wakati wa ziara yake
ya kukagua mradi huo wa
ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji
chalinze na na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki
yakuhifadhia maji.
Picha
zote na Frank Mvungi-MAELEZO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...