Waziri Mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akizungumza na Waandishi wa habari juu ya utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano na kujikosoa yeye kuwa katika utawala wake Viwanda vilikufa hivyo anashangaa kuona Rais Magufuli akiviamsha kama uyoga.
Sehemu ya Viongozi wa kanda ya Pwani wa CHADEMA wakifuatilia mkutano huo wa Waandishi wa habari
Sehemu ya Waandishi wa habari walioshiriki mkutano huo na Waandishi wa habari
Katibu wa CHADEMA kanda ya Pwani Juma Mabina akizungumza katika mkutano wake na Waandishi wa habri jijini Dar es Salaam leo
Sehemu ya Waandishi wa habari walioshiriki mkutano huo na Waandishi wa habari.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...