Tamasha la E-FM Redio ya Jijini Dar es salaam, liitwalo Komaa Concert lililokuwa mahususi kwa ajili ya redio hiyo kuwashukuru wasikilizaji wake wa 91.3 lilifunika jiji la Mwanza kwa mapokezi yao makubwa.Katika tamasha hilo, wanamuziki mbalimbali akiwemo Dulla Makabila, Ney Wa Mitego, Darassa, Stamina, Rich Mavoko, Aga Star, Chemichal, Ben Pol na wengine wengi walidondosha burudani kali katika uwanja wa CCM Kirumba
Darassa akitumbuiza kwenye tamasha la KOMAA CONCERT uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Dulla Makabila akifanya yake kwenye tamasha la KOMAA CONCERT uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Ney Wa Mitengo akiwapa raha mashabiki kwenye tamasha la KOMAA CONCERT uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Picha na BMG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...