Waziri wa Mambo ya Nje na Kikanda, Dkt Augustine Mahiga akipata maelezo katika banda la TFDA alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 41 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Kikanda, Dkt Augustine Mahiga akisaini kitabu cha wageni katika banda la TFDA alipotembelea maonesho ya 41 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakipata huduma katika banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya ulipaji wa kodi ya majengo katika maonesho ya 41 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...