Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga pamoja na uteuzi wake wa Mwenyekiti na Wajumbe wapya watakaounda Kamti ya Mashindano ya Klabu hiyo kwa ajili ya msimu mpya wa 2017/18.
Makamu Mwenyekiti Clement Sanga amemrejesha Maggid Suleiman ambaye atakuwa Mwenyekiti akisaidiwa na makamu Mustapha Urungu huku wakiteuliwa wajumbe wapya 10.
Sanga atafanya kikao cha kwanza na kamati hiyo siku ya jumamosi Saa 4 asubuhi, Makao Makuu ya klabu,jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...