Kipanya rasmi sasa amejiunga na Vodacom RED na atakuwa anakuletea mfululizo
wa maisha anayoishi sasa baada ya kujiunga na huduma hii mpya inayotolewa na
kampuni ya simu nchini Vodacom Tanzania. Hatujui atatuletea nini lakini tunaimani
atawapa wafuasi wake faida anazozipata akiwa na Red RLX, endelea kufuatilia hapa
kuona nini atatuletea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...